![]() 17 Mitume hawa wawili walipoweka mikono yao juu ya watu, Roho Mtakatifu aliwashukia.ġ8 Simoni aliyekuwa mchawi alipoona Roho Mtakatifu anatolewa kwa watu kwa kuweka mikono juu yao. Na hii ndiyo sababu Petro na Yohana waliomba. 16 Watu hawa walikuwa wamebatizwa katika jina la Bwana Yesu, lakini Roho Mtakatifu alikuwa bado hajamshukia hata mmoja wao. 15 Petro na Yohana walipofika, waliomba ili Roho Mtakatifu awashukie waamini wa Samaria. Alipoona miujiza na matendo makuu ya ajabu yaliyofanyika kupitia Filipo, alishangaa.ġ4 Mitume mjini Yerusalemu, waliposikia kuwa watu wa Samaria wameupokea Ujumbe wa Mungu, waliwatuma Petro na Yohana kwenda kwa watu wa Samaria. 13 Simoni mwenyewe aliamini, na baada ya kubatizwa, alikaa karibu na Filipo. Wanaume na wanawake waliamini alichosema Filipo na wakabatizwa. 12 Lakini Filipo alipowahubiri watu Habari Njema kuhusu Ufalme wa Mungu na Nguvu za Yesu Kristo. Walisema, “Mtu huyu ndiye anayeitwa ‘Nguvu Kuu ya Mungu.’” 11 Simoni aliwashangaza watu kwa muda mrefu kwa uchawi wake na watu wote wakawa wafuasi wake. 10 Watu wote, kuanzia mdogo hadi mkubwa, waliamini yale aliyosema Simoni. Kabla Filipo hajaenda huko, Simoni alikuwa akifanya uchawi na kuwashangaza watu wote wa Samaria. 8 Kulikuwa furaha kubwa katika mji ule wa Samaria siku ile!ĩ Mtu mmoja aliyeitwa Simoni alikuwa anaishi katika mji huo. Walikuwepo pia watu wengi waliopooza na walemavu wa miguu pale. Mapepo yalipiga kelele nyingi yalipokuwa yanawatoka watu. 7 Watu wengi miongoni mwao walikuwa na mapepo, lakini Filipo aliyakemea mapepo na yaliwatoka watu. ![]() Wote walisikiliza kwa makini yale aliyosema. 6 Watu wa Samaria walimsikiliza Filipo na kuona miujiza aliyotenda. Filipo Ahubiri Katika Samariaĥ Filipo alikwenda katika mji mkuu wa jimbo la Samaria na kuwahubiri watu kuhusu Masihi. 4 Walitawanyika kila mahali, na kila walikokwenda waliwahubiri watu Habari Njema. Waamini walikwenda mahali tofauti tofauti katika Uyahudi na Samaria. Waamini wote walikimbia kutoka Yerusalemu, mitume peke yao ndiyo walibaki. Aliingia katika nyumba za waamini, akawaburuta wanaume na wanawake, na kuwafunga gerezani. Kuanzia siku hiyo Wayahudi walianza kulitesa sana kanisa na waamini katika mji wa Yerusalemu. Baadhi ya wacha Mungu walimzika Stefano, wakaomboleza na kumlilia kwa sauti kuu. 8 1-3 Sauli aliridhia kuwa kuuawa kwa Stefano lilikuwa jambo jema.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |